close
Wow~ Wow~
Huwezi kuweka kama ukurasa wa mwanzo

Kisakuzi chako hakina uwezo wa kitufe moja cha mpangizo

Msaada

16Lao ni tovuti ya uabiri wa kimataifa, na ni tovuti ya uabiri pekee inayo hudumia dunia nzima. Inatoa lugha 18 kwa ajili ya mchaguo wa watumiaji, 16Lao hukusanya tovuti kuu kutoka kila nchi duniani kote. Tumeweka tuvuti katoka nchi 240 na maeneo (ikiwa ni pamoja na maeneo maalum) na hata tuna tovuti huru katika eneo baridi sana la Antaktika, hivyo kimsingi tumetanda dunia nzima. Zaidi ya hayo, sisi tumeunganisha na tovuti 256 za kimataifa.

Kuhusu sisi

Kuhusu 16Lao

16Lao ni tovuti ya uabiri wa kimataifa, pia ni tovuti ya kipekee ya uabiri inayotoa huduma kwa dunia nzima. Inapatikana katika lugha 18, na inakusanya tovuti kuu za nchi zote duniani. 16Lao imetengeneza tovuti 240 za nchi na maeneo (yakiwemo maeneo maalum), ikiwa ni pamoja na eneo baridi sana yaani Antaktika. kwa ujumla, tumetambaa kote duniani, zaidi ya hayo, pia tumeunganisha na tovuti 258.

Kuangalia dunia kwa njia ya mtandao moja ni moja ya kipengele msingi miongoni mwa faida za 16Lao.Malengo yetu

Tunajitahidi kutengeneza tovuti ya kipekee ya uabiri wa kimataifa inayotambaa kila pembe duniani na kushughulikia kila mtu. malengo yetu ni kuhudumia watumiaji wetu kwa kuzingatia hali ya utandawazi, ufahamivu na urahisi.